uzalishaji wa wanyama ni moja ya sekta kubwa ya kilimo nchini Tanzania na ina mchango mkubwa kwenye uchumi wa nchi. Sayansi ya wanyama imejumlisha mambo ya uzalishaji wa wanyama na mazao yatokanayo na wanyama. Hii inajumlisha, ▪vipengele vyote vya utunzaji/uangalizi wa aina zote za migugo(ng'ombe, kondoo, mbuzi, nguruwe, ndege, mbuni, na farasi)
Ni mtandao wa kilimo unaotumia malighafi za kilimo na masoko yaliyopo Tanzania ikiwa imelenga wakulima wadogo wa kati na wakubwa katikata kuwapatia njia bora za kilimo na technologia Kangetakilimo inawawezesha na kuwapa uwezo kwa kutumia technologia katika kilimo kwa mlengo wa kulima kibiashara. .... Soma Zaidi