ushauri Wa kilimo cha mbogamboga

UTAFITI WA MAZAO

kangetakilimo inao wataalamu waliobobea katika kilimo cha mazao ya bustani kama mbogamboga, matunda, maua, Kangetakilimo inatoa taarifa muhimu kwa wateja wao kuhusu kilimo hicho na mbinu za kilimo cha mazao ya bustani. Katika sekta ya mazao ya bustani tunatoa huduma zifuatazo;

Uchaguzi wa aina ya mbegu kwa zao husika

Udhibiti wa magonjwa na wadudu

Uanzilishaji/uandaaji wa vitalu

Uhamishaji wa miche kutoka kwenye kitalu kwenda shambani

Kutunza mazao baada ya mavuno

Mbinu za uzalishaji

Uzalishaji wa mazao ya mapambo

Date
Category
Ushauri
Client Site
Tags

Please publish modules in offcanvas position.