Kutathimini, kuunda, na kufunga shambani mfumo Wa umwagiliaji

KUBUNI,KUUNDA,KUREKEBISHA NYUMBA KITALU

pindi tunapounda nyumba ya kilimo cha ndani lengo madhubuti la kangetakilimo ni kuhakikisha ubora wa mazingira ya mmea, ushauri wa huduma hii utatolewa pamoja na jinsi ya kutunza na kulinda mfumo huo ili kupata mavuno mengi zaidi.

Zifuatazo ni aina za nyumba kitalu ambazo tunatoa huduma;

nyumba kubwa ya kilimo cha ndani

muundo wa kuezeka na plastiki

sehemu ya kupitisha hewa

nyumba ya kawaida nyumba ya kilimo yenye umbo A.

nyumba kitalu tunazojenga  zina ukubwa ufuatao;

6m x12m, 8m x15m, 8m x30m, 16m x 30m, 10m x 12m. Lakini kiwango chochote utakachochagua, kangetakilimo tunayo timu nzuri ya wahandisi wa kilimo watakao buni na kukujengea muundo kulingana na mahitaji. Tunaamini ubora wa ubunifu sio muonekano bali ni jinsi itakavyofanya kazi. 

KUBUNI,KUUNDA,KUREKEBISHA NYUMBA KITALU

Date
Category
Ushauri
Client Site
Tags

Kuhusu Kangetakilimo

Ni mtandao wa kilimo unaotumia malighafi za kilimo na masoko yaliyopo Tanzania ikiwa imelenga wakulima wadogo wa kati na wakubwa katikata kuwapatia njia bora za kilimo na technologia Kangetakilimo inawawezesha na kuwapa uwezo kwa kutumia technologia katika kilimo kwa mlengo wa kulima kibiashara.  .... Soma Zaidi

 

Download Kangeta Kilimo App

Please publish modules in offcanvas position.