mafunzo na semina za kilimo

USHAURI WA KILIMO

baada ya uandaaji wa shamba wakulima wanatakiwa wapate ushauri kuhusu udongo wao, na aina za mbegu, Kangeta kilimo wanao wataalamu waliobobea kwenye elimu ya udongo na sifa zake.

Uchumi wa kilimo utakuepo kwa kuhakikisha udongo uliopo shambani unaweza kuzalisha mazao kwa kiwango cha juu/kilichokusudiwa. Kangetakilimo wanao wataalamu wazuri kuhusu tabia ya udongo na sifa zake. Wataalamu wa kangeta kilimo wanatoa taarifa na ushauri wa kitaalamu kuhusu udongo mzuri kwa uzalishaji.  katika sekta ya uchumi wa kilimo tunatoa huduma zifuatazo;

Kupima udongo

Utunzaji na udhibiti wa udongo

Uzalishaji wa mazao ya nafaka,bustani,na matunda pamoja na miti

Mbinu za uzalishaji na kuongeza mavuno

 

Date
Category
Semina
Client Site
Tags

Kuhusu Kangetakilimo

Ni mtandao wa kilimo unaotumia malighafi za kilimo na masoko yaliyopo Tanzania ikiwa imelenga wakulima wadogo wa kati na wakubwa katikata kuwapatia njia bora za kilimo na technologia Kangetakilimo inawawezesha na kuwapa uwezo kwa kutumia technologia katika kilimo kwa mlengo wa kulima kibiashara.  .... Soma Zaidi

 

Download Kangeta Kilimo App

Please publish modules in offcanvas position.