Makala

Mbuzi na kondoo ni wanyama ambao wanaweza kufugwa kwa gharama nafuu pia ni wavumilivu wa ukame na maradhi tofauti na ngo’mbe kwa kua wana umbile dogo wanaweza kufugwa katika eneo dogo na nguvu kazi ndogo na hata kwa wenye kipato kidogo.

UTANGULIZI
Dengu ni zao la chakula na biashara lenye kiasi kikubwa cha protini, vitamini A na B, Madini ya Potassium na chuma.Kwa Tanzania zao LA dengu hulimwa sana mikoa ya:

Alizeti ni zao linalochavushwa kwa upepo au wakala kama nyuki wa asali,vipepeo na wadudu wengine.Bidhaa zitokanazo na alizeti

 Nyanya ni zao ambalo hulimwa kwa kiasi kikubwa katika maeneo mengi ya TANZANIA na duniani kote. Asili yake ni kutoka Amerika ya kusini na kati.Nyanya ni miongoni mwa mazao jamii ya mboga mboga

Kuhusu Kangetakilimo

Ni mtandao wa kilimo unaotumia malighafi za kilimo na masoko yaliyopo Tanzania ikiwa imelenga wakulima wadogo wa kati na wakubwa katikata kuwapatia njia bora za kilimo na technologia Kangetakilimo inawawezesha na kuwapa uwezo kwa kutumia technologia katika kilimo kwa mlengo wa kulima kibiashara.  .... Soma Zaidi

 

Download Kangeta Kilimo App

Please publish modules in offcanvas position.