Buchosa

Buchosa

Contact +255717274387/+255759417639
info@kangetakilimo.co.tz

Description

Washiriki wa mafunzo katika wilaya zote ambazo wawezeshaji wamepita walielimishwa juu ya umuhimu wa kukagua mashamba mara baada ya kupanda na mimea kuota ili kuweza kutambua wadudu waharibifu ambao huaribu mipamba katika hatua mbalimbali za ukuaji wa mipamba. Washiriki wamefundishwa jinsi ya kutambua wadudu katika hatua zote za mzunguko wa maisha (Mdudu kamili, mayai, kiwavi/funza na buu). Utambuzi wa wadudu katika mipamba utaweza kuwasaidia maafifa ughani, wakulima viongozi na ushirika wa wakulima kuweza kuchukua hatua sahihi kwa kutukumia mbinu husishi ikiwepo ya matumizi ya viuadudu vilivyoidhinishwa na serikali kudhibiti wadudu.Maa hii ilitolewa na mtafiti mwandamizi wa wadudu wanaoshambulia zao la pamba 

Location

Mwanza

Kuhusu Kangetakilimo

Ni mtandao wa kilimo unaotumia malighafi za kilimo na masoko yaliyopo Tanzania ikiwa imelenga wakulima wadogo wa kati na wakubwa katikata kuwapatia njia bora za kilimo na technologia Kangetakilimo inawawezesha na kuwapa uwezo kwa kutumia technologia katika kilimo kwa mlengo wa kulima kibiashara.  .... Soma Zaidi

 

Download Kangeta Kilimo App

Please publish modules in offcanvas position.