TABORA

TABORA

Contact Banking/Financing
Education
Technical support
Awareness raising
Know-how transfer
Economic growth

Description

(i) Tulitoa mafunzo kwa wakulima na maafisa kilimo wa kata hasa mafundisho kama sababu za viadudu kutokufanya kazi kama ubora hafifu,uchanganyaji kwenye mabomba,utunzaji,muda wa kupiga dawa,uwelekeo wa upepo,usungu na usimamizi mbovu nk .

(ii) Tulitoa mafunzo ya jinsi ya kutumia vinyunyizi na muda na wakati wa kupiga dawa.

(iii) Tulitoa utambulisho wa viuadudu jinsi ya kuvitumia kama matumizi ya vipimo ingredient pamoja na ujazo kwa heka.

Location

Shinyanga

Kuhusu Kangetakilimo

Ni mtandao wa kilimo unaotumia malighafi za kilimo na masoko yaliyopo Tanzania ikiwa imelenga wakulima wadogo wa kati na wakubwa katikata kuwapatia njia bora za kilimo na technologia Kangetakilimo inawawezesha na kuwapa uwezo kwa kutumia technologia katika kilimo kwa mlengo wa kulima kibiashara.  .... Soma Zaidi

 

Download Kangeta Kilimo App

Please publish modules in offcanvas position.