TABORA

DODOMA

Contact +255717274387/+255759417639
info@kangetakilimo.co.tz

Description

 BENS AGROSTAR CO LTD na KANGETA KILIMO ikishirikiana na taasisi ya utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) kituo cha Ukiriguru Mwanza,Ilonga morogoro,TPRI na Bodi ya Pamba, Tanzania na wawakilishi wa makampuni yaliyoshinda zabuni ya kusambaza viuatilifu yaliwakiliswa na BENS AGROSTAR CO LTD kama (SUBA AGRO, na BAJUTA International) tumeendesha mafunzo yanayohusu matumizi sahihi na salama ya viuatilifu na vinyunyizi kwa maafisa ughani, wakulima viongozi na ushirika wwa 

 

 

Location

Dodoma

Kuhusu Kangetakilimo

Ni mtandao wa kilimo unaotumia malighafi za kilimo na masoko yaliyopo Tanzania ikiwa imelenga wakulima wadogo wa kati na wakubwa katikata kuwapatia njia bora za kilimo na technologia Kangetakilimo inawawezesha na kuwapa uwezo kwa kutumia technologia katika kilimo kwa mlengo wa kulima kibiashara.  .... Soma Zaidi

 

Download Kangeta Kilimo App

Please publish modules in offcanvas position.