SAME KILIMANJARO

Mandela

Contact +255717274387/+255759417639
info@kangetakilimo.co.tz

Description

Lengo kubwa la mafunzo haya ni kuwajengea uwezo kwa kutoa maelekezo ya matumizi sahihi na salama ya viuatilifu na vinyuyizi kwenye kudhibiti wadudu waharibifu wanaoshambulia mipamba na mazao ya nafaka,mbogamboga,miti nk.

Location

Pwani

Kuhusu Kangetakilimo

Ni mtandao wa kilimo unaotumia malighafi za kilimo na masoko yaliyopo Tanzania ikiwa imelenga wakulima wadogo wa kati na wakubwa katikata kuwapatia njia bora za kilimo na technologia Kangetakilimo inawawezesha na kuwapa uwezo kwa kutumia technologia katika kilimo kwa mlengo wa kulima kibiashara.  .... Soma Zaidi

 

Download Kangeta Kilimo App

Please publish modules in offcanvas position.