ushauri Wa kuzalisha na kutunza mifugo

ushauri Wa kuzalisha na kutunza mifugo,

uzalishaji wa wanyama ni moja ya sekta kubwa ya kilimo nchini Tanzania na ina mchango mkubwa kwenye uchumi wa nchi. Sayansi ya wanyama imejumlisha mambo ya uzalishaji wa wanyama na mazao yatokanayo na wanyama. Hii inajumlisha,  ▪vipengele vyote vya utunzaji/uangalizi wa aina zote za migugo(ng'ombe, kondoo, mbuzi, nguruwe, ndege, mbuni, na farasi)

  • mazao yanayotokana na wanyama hao(nyama, maziwa, manyoya, mayai, ngozi)
  • mambo yanayohusu viumbe vya majini kama samaki, na aina za wanyamapori. Kangetakilimo ina wataalamu waliojikita kwenye uzalishaji wa wanyama na mazao ya wanyama kama ng'ombe, mbuzi, nguruwe, kondoo, farasi. kangetakilimo inatoa huduma maalumu zikiwemo;
  • Uzalianaji wa wanyama na ndege
  • Tabia za wanyama husika
  • Lishe ya wanyama na ndege
  • Uzalianaji wa wanyama na ndege
Date
Category
Ushauri
Client Site
Tags

Kuhusu Kangetakilimo

Ni mtandao wa kilimo unaotumia malighafi za kilimo na masoko yaliyopo Tanzania ikiwa imelenga wakulima wadogo wa kati na wakubwa katikata kuwapatia njia bora za kilimo na technologia Kangetakilimo inawawezesha na kuwapa uwezo kwa kutumia technologia katika kilimo kwa mlengo wa kulima kibiashara.  .... Soma Zaidi

 

Download Kangeta Kilimo App

Please publish modules in offcanvas position.