Uza/Nunua

mbegu ya matikiti Sugar King F1 Hybrid

Price: 230000 TSH 230000 TSH Price is negotiable

Description

Gharama ya mbegu ya matikiti aina ya sugarking F1 Hybrid  50g,250g,500g kupitia kangeta kilimo bei ni makubaliano

Njia za malipo utalipia baada ya kupokea mzigo kwa njia ya mpesa au tigo pesa,kulipa moja kwa moja

 

Gharama ya kuletewa mzigo ni 200tsh,5000tsh hadi 10000tsh  huchukua 1 hadi 2 kulinga na mkoa au wilaya uliyopo

Sugar King F1 Hybrid

  1. Hukinzana na magonjwa ya chule na mnyauko
  2. Ni mazur kwa kushafirisha na kuhifadhi
  3. Uwotaji wake ni 90%  ni nzuri kwa Tanzania hasa kwa kilimo cha nje

 

Sugar King F1 Hybrid

1.      Tunda lina umbo la yai na mistari ya kjani iliyokolea

2.      Tunda lina ganda la kijani na nyama ya ndani lina rangi nyekundu iliyokolea

3.      Tunda lina kiasi kingi cha sukari cha asilimia 9.6% TSS (Sugar content )

4.      Uzito wa tunda una wastani wa kuanzia kilogramu 10 hadi 12

5.      Tunda linakomaa kuanzia siku 75 hadi 80

6.      Tunda linauwezo mkubwa wa kuto kushambuliwa na magonjwa

 

Location

Kinondoni, Dar es Salaam

Kuhusu Kangetakilimo

Ni mtandao wa kilimo unaotumia malighafi za kilimo na masoko yaliyopo Tanzania ikiwa imelenga wakulima wadogo wa kati na wakubwa katikata kuwapatia njia bora za kilimo na technologia Kangetakilimo inawawezesha na kuwapa uwezo kwa kutumia technologia katika kilimo kwa mlengo wa kulima kibiashara.  .... Soma Zaidi

 

Download Kangeta Kilimo App

Please publish modules in offcanvas position.