Gharama ya mbegu ya matikiti aina ya sugarqueen F1 Hybrid 50g,250g,500g kupitia kangeta kilimo bei ni makubaliano
Njia za malipo utalipia baada ya kupokea mzigo kwa njia ya mpesa au tigo pesa,kulipa moja kwa moja
Gharama ya kuletewa mzigo ni2000tsh, 5000tsh hadi 10000tsh huchukua 1 hadi 2 kulinga na mkoa au wilaya uliyopo
WATERMELON
Sugar King F1 Hybrid
1. Tunda lina umbo la yai na mistari ya kjani iliyokolea
2. Tunda lina ganda la kijani na nyama ya ndani lina rangi nyekundu iliyokolea
3. Tunda lina kiasi kingi cha sukari cha asilimia 9.6% TSS (Sugar content )
4. Uzito wa tunda una wastani wa kuanzia kilogramu 10 hadi 12
5. Tunda linakomaa kuanzia siku 75 hadi 80
6. Tunda linauwezo mkubwa wa kuto kushambuliwa na magonjwa
NOTE
Epuka mbegu feki wasiliana nasi kwa kupata mbegu bora kulingana na ukanda uliopo ili kuepuka hasara kwa kutumia mbegu zisizo bora
Ni mtandao wa kilimo unaotumia malighafi za kilimo na masoko yaliyopo Tanzania ikiwa imelenga wakulima wadogo wa kati na wakubwa katikata kuwapatia njia bora za kilimo na technologia Kangetakilimo inawawezesha na kuwapa uwezo kwa kutumia technologia katika kilimo kwa mlengo wa kulima kibiashara. .... Soma Zaidi