Gharama ya mbegu ya matikiti aina ya sugarking F1 Hybrid 50g,250g,500g kupitia kangeta kilimo bei ni makubaliano
Njia za malipo utalipia baada ya kupokea mzigo kwa njia ya mpesa au tigo pesa,kulipa moja kwa moja
Gharama ya kuletewa mzigo ni 5000tsh hadi 10000tsh huchukua 1 hadi 2 kulinga na mkoa au wilaya uliyopo
Hukinzana na magonjwa ya chule na mnyauko
Ni mazur kwa kushafirisha na kuhifadhi
Uwotaji wake ni 90% ni nzuri kwa Tanzania hasa kwa kilimo cha nje
Zebra F1 Hybrid
1. Uzalishaji wake ni mkubwa na matunda yake yameundika vizuri
2. Hukomaa mapema
3. Majani madogo yenye umbo la msumeno inasaidia kufunga vizuri ili isiunguzwe na jua
4. Uzito wa tunda ni kilogramu 10 hadi 12
5. Nyama yake ni nyekundu imara na tamu sana
6. Ina uwezo mkubwa wa kuhifadhiwa na kusafirishwa
7. Ina uwezo mkubwa wa kustahimili anthracnose na wastani wa kuhimili Fusarium wilt
NOTE
EPUKA MATUMIZI YA MBEGU ZA MATIKITI FEKI WASILIANA NASI KWA MAITAJI YA MBEGU BORA ZA MATIKITI
Ni mtandao wa kilimo unaotumia malighafi za kilimo na masoko yaliyopo Tanzania ikiwa imelenga wakulima wadogo wa kati na wakubwa katikata kuwapatia njia bora za kilimo na technologia Kangetakilimo inawawezesha na kuwapa uwezo kwa kutumia technologia katika kilimo kwa mlengo wa kulima kibiashara. .... Soma Zaidi