mbegu bora matikiti Sukari F1 Hybrid

mbegu bora matikiti Sukari F1 Hybrid

Price: 230000 TSH 230000 TSH Price is negotiable
Contact +255717274387/+255759417639
info@kangetakilimo.co.tz

Description

 

  • Gharama ya mbegu ya matikiti aina ya sugarking F1 Hybrid  50g,250g,500g kupitia kangeta kilimo bei ni makubaliano
  • Njia za malipo utalipia baada ya kupokea mzigo kwa njia ya mpesa au tigo pesa,kulipa moja kwa moja
  • Gharama ya kuletewa mzigo ni 5000tsh hadi 10000tsh  huchukua 1 hadi 2 kulinga na mkoa au wilaya uliyopo
  1. Hukinzana na magonjwa ya chule na mnyauko
  2. Ni mazur kwa kushafirisha na kuhifadhi
  3. Uwotaji wake ni 90%  ni nzuri kwa Tanzania hasa kwa kilimo cha nje

 

SUKARI F1 Hybrid

1.      Uzalishaji wake ni mkubwa na matunda yake yameundika vizuri

2.      Hukomaa mapema

3.      Majani madogo yenye umbo la msumeno inasaidia kufunga vizuri ili isiunguzwe na jua

4.      Uzito wa tunda ni kilogramu 10 hadi 12

5.      Nyama yake ni nyekundu imara na tamu sana

6.      Ina uwezo mkubwa wa kuhifadhiwa na kusafirishwa

7.      Ina uwezo mkubwa wa kustahimili anthracnose na wastani wa kuhimili Fusarium wilt

Location

Kinondoni, Dar es Salaam

About Kangetakilimo

Is the Agricultural gateway to untapped Agricultural Resources and markets targeting poor small scale, medium scale and large scale farmers in Tanzania, in providing access to crucial Agricultural solutions and Technology Services, products and solutions. Kangetakilimo enables and empowers local Farmers by .... Read more

 

Download Kangeta Kilimo App

Please publish modules in offcanvas position.