mbegu ya matikiti Sugar King F1 Hybrid

mbegu ya matikiti sugar queen F1 hybrid

Price: 230000 TSH 230000 TSH
Contact +255717274387/+255759417639
info@kangetakilimo.co.tz

Description

 

Gharama ya mbegu ya matikiti aina ya sugarqueen F1 Hybrid  50g,250g,500g kupitia kangeta kilimo bei ni makubaliano

 

Njia za malipo utalipia baada ya kupokea mzigo kwa njia ya mpesa au tigo pesa,kulipa moja kwa moja

 

Gharama ya kuletewa mzigo ni2000tsh, 5000tsh hadi 10000tsh  huchukua 1 hadi 2 kulinga na mkoa au wilaya uliyopo

 

 

  1. Hukinzana na magonjwa ya chule na mnyauko
  2. Ni mazur kwa kushafirisha na kuhifadhi
  3. Uwotaji wake ni 90%  ni nzuri kwa Tanzania hasa kwa kilimo cha nje

WATERMELON

Sugar King F1 Hybrid

1.      Tunda lina umbo la yai na mistari ya kjani iliyokolea

2.      Tunda lina ganda la kijani na nyama ya ndani lina rangi nyekundu iliyokolea

3.      Tunda lina kiasi kingi cha sukari cha asilimia 9.6% TSS (Sugar content )

4.      Uzito wa tunda una wastani wa kuanzia kilogramu 10 hadi 12

5.      Tunda linakomaa kuanzia siku 75 hadi 80

 

6.      Tunda linauwezo mkubwa wa kuto kushambuliwa na magonjwa 

 

  NOTE

 

Epuka mbegu feki wasiliana nasi kwa kupata mbegu bora kulingana na ukanda uliopo ili kuepuka hasara kwa kutumia mbegu zisizo bora 

 

Location

Kinondoni, Dar es Salaam

About Kangetakilimo

Is the Agricultural gateway to untapped Agricultural Resources and markets targeting poor small scale, medium scale and large scale farmers in Tanzania, in providing access to crucial Agricultural solutions and Technology Services, products and solutions. Kangetakilimo enables and empowers local Farmers by .... Read more

 

Download Kangeta Kilimo App

Please publish modules in offcanvas position.