Mafunzo na semina za kilimo

Mafunzo na semina za kilimo

Kangetakilimo imelenga kuona mabadiliko chanya kwa wakulima wakiwa kama walengwa wakuu, hivo kangetakilimo inataka kubadili mtazamo wa watu wanao ogopa kujiingiza kwenye kilimo kutokana na kukosa elimu ya namna ya kuendesha kilimo cha kisasa kwenye mashamba yao.

Kangetakilimo wanatoa mafunzo na mpango kazi. Yote haya yatafanywa kwa vitendo na kufanya majaribio pale inapotakiwa.

Please publish modules in offcanvas position.