Ushauri Wa kilimo cha nafaka,pamoja na udongo

MFUMO WA UMWAGILIAJI

Kangetakilimo ina wataalamu wazuri na bora maalumu kwa kilimo cha umwagiliaji, vyanzo vya maji. Kwa hakika tuna uwezo wa kuwasaidia wakulima, taasisi, serikali na sekta binafsi katika kutathimini mradi,kubuni, kujenga na kufanya marekebisho. Maji ni pembejeo ya kilimo kama zilivo nyingine, taarifa au ushauri utakaopata kutoka kangetakilimo ni mzuri na unalenga kuleta mabadiliko chanya kwenye sekta ya kilimo na kwa mkulima binafsi.  Tunatoa huduma zifuatazo kwenye sekta ya umwagiliaji;

kubuni na kufunga mifumo ya umwagiliaji wa matone.

Kuunda mifereji ya kutolea maji.

Kuunda njia za kupitisha maji kwenda shambani.Kuunda mabwawa ya maji.

Kuunda miundombinu ya utoaji maji taka shambani.Kuunda na kujenga mifumo ya uvunaji wa maji ya mvua.

Date
Category
Ushauri
Client Site
Tags

Please publish modules in offcanvas position.