Huduma

Kangetakilimo tunatoa wigo mpana wa huduma kwa wateja wote duniani, tunahudumia kwa ubora katika kutatua matatizo ya miradi inayojikita katika kuchangia kwenye maendelea kimataifa, kama njia sahihi ya kufikia maendeleo ya binadamu na kukuza uchumi wa afrika .

Kangetakilimo imejikita kwenye maswala tisa ya muhimu,  ambayo ni;

Kuhusu Kangetakilimo

Ni mtandao wa kilimo unaotumia malighafi za kilimo na masoko yaliyopo Tanzania ikiwa imelenga wakulima wadogo wa kati na wakubwa katikata kuwapatia njia bora za kilimo na technologia Kangetakilimo inawawezesha na kuwapa uwezo kwa kutumia technologia katika kilimo kwa mlengo wa kulima kibiashara.  .... Soma Zaidi

 

Download Kangeta Kilimo App

Please publish modules in offcanvas position.