Kangetakilimo
Ni mtandao wa kilimo unaotumia malighafi za kilimo na masoko yaliyopo Tanzania ikiwa imelenga wakulima wadogo wa kati na wakubwa katikata kuwapatia njia bora za kilimo na technologia.
Kangetakilimo inawawezesha na kuwapa uwezo wakulima wadogowadogo kwa kutumia technologia katika kilimo kwa mlengo wa kulima kibiashara.
Changamoto
Ulimwengu umefanya juhudi kubwa kupunguza umasikini. Mwaka 1990 asilimia 43% ya idadi ya watu katika nchi zinazo endelea wanaishi chini ya dola 1 kwa siku.
Tazama ZoteHABARI ZA HIVI KARIBUNI
Karanga ni mojawapo ya mazao yanayotoa mafuta. Katika Tanzania zao hili hustawi zaidi katika mikoa ya
Bamia ni zao la Jamii ya mbogamboga linalotambulika kitaalamu kama Abelmoschus esculentus (OKRA) lenye asili ya Afrika ya magharibi. Kwa sasa zao hili linalimwa katika nchi nyingi hasa sehemu za joto. Baadhi ya maeneo yanayolima zao la bamia kwa Tanzania ni pamoja na ukanda wote wa nchi ya Tanzania,Kutoka mita 0-1500 kutoka usawa wa bahar