mbegu matikiti sukari F1

mbegu matikiti sukari F1

Price: 210000tsh Tsh 210000tsh Tsh Price is negotiable
Contact Gharama ya mbegu ya matikiti aina ya sugarking F1 Hybrid 50g,250g,500g kupitia kangeta kilimo bei ni makubaliano
Njia za malipo utalipia baada ya kupokea mzigo kwa njia ya mpesa au tigo pesa,kulipa moja kwa moja
Gharama ya kuletewa mzigo ni 5000tsh hadi 10000tsh huchukua 1 hadi 2 kulinga na mkoa au wilaya uliyopo
Hukinzana na magonjwa ya chule na mnyauko
Ni mazur kwa kushafirisha na kuhifadhi
Uwotaji wake ni 90% ni nzuri kwa Tanzania hasa kwa kilimo cha nje


SUKARI F1 Hybrid

1. Uzalishaji wake ni mkubwa na matunda yake yameundika vizuri

2. Hukomaa mapema

3. Majani madogo yenye umbo la msumeno inasaidia kufunga vizuri ili isiunguzwe na jua

4. Uzito wa tunda ni kilogramu 10 hadi 12

5. Nyama yake ni nyekundu imara na tamu sana

6. Ina uwezo mkubwa wa kuhifadhiwa na kusafirishwa
na uwezo mkubwa wa kustahimili anthracnose na wastani wa kuhimili Fusarium wilt

Description

  • Gharama ya mbegu ya matikiti aina ya sugarking F1 Hybrid  50g,250g,500g kupitia kangeta kilimo bei ni makubaliano
  • Njia za malipo utalipia baada ya kupokea mzigo kwa njia ya mpesa au tigo pesa,kulipa moja kwa moja
  • Gharama ya kuletewa mzigo ni 5000tsh hadi 10000tsh  huchukua 1 hadi 2 kulinga na mkoa au wilaya uliyopo
  1. Hukinzana na magonjwa ya chule na mnyauko
  2. Ni mazur kwa kushafirisha na kuhifadhi
  3. Uwotaji wake ni 90%  ni nzuri kwa Tanzania hasa kwa kilimo cha nje

 

SUKARI F1 Hybrid

1.      Uzalishaji wake ni mkubwa na matunda yake yameundika vizuri

2.      Hukomaa mapema

3.      Majani madogo yenye umbo la msumeno inasaidia kufunga vizuri ili isiunguzwe na jua

4.      Uzito wa tunda ni kilogramu 10 hadi 12

5.      Nyama yake ni nyekundu imara na tamu sana

6.      Ina uwezo mkubwa wa kuhifadhiwa na kusafirishwa

7.      Ina uwezo mkubwa wa kustahimili anthracnose na wastani wa kuhimili Fusarium wilt

Location

Kinondoni, Dar es Salaam

Kuhusu Kangetakilimo

Ni mtandao wa kilimo unaotumia malighafi za kilimo na masoko yaliyopo Tanzania ikiwa imelenga wakulima wadogo wa kati na wakubwa katikata kuwapatia njia bora za kilimo na technologia Kangetakilimo inawawezesha na kuwapa uwezo kwa kutumia technologia katika kilimo kwa mlengo wa kulima kibiashara.  .... Soma Zaidi

 

Download Kangeta Kilimo App

Please publish modules in offcanvas position.