mafunzo

bukombe

Contact +255717274387/+255759417639
info@kangetakilimo.co.tz

Description

Viuatilifu vitumike kulingana na kiwango cha mashambulizi ya wadudu (economic threshold). Kiuatilifu ni lazima kiendane na kisumbufu lengwa na ni lazima kitumike kulingana na maelekezo ya kwenye kibandiko.

Sababu ni ngingi. Matokeo mazuri kutokana na matumizi ya kiuatilifu hutegemeana na insi  mdau alivyokitumia na kama amezingatia taratibu zinazotakiwa.

Inawezekana kabisa kuwa kwa maeneoo ambapo wakulima hawatumii kulingana na maelekezo, kiuatilifu kile kile kinaweza kushindwa kufanya kazi iliyokusudiwa. 

Location

Shinyanga

Kuhusu Kangetakilimo

Ni mtandao wa kilimo unaotumia malighafi za kilimo na masoko yaliyopo Tanzania ikiwa imelenga wakulima wadogo wa kati na wakubwa katikata kuwapatia njia bora za kilimo na technologia Kangetakilimo inawawezesha na kuwapa uwezo kwa kutumia technologia katika kilimo kwa mlengo wa kulima kibiashara.  .... Soma Zaidi

 

Download Kangeta Kilimo App

Please publish modules in offcanvas position.